Namuuliza status yake hasemi

Wakuu habari zenu,

Niende kwenye mada moja kwa moja.

Kuna bint tumefahamiana muda kidogo. Nimevutiwa naye...
Ni msomi wa elimu ya juu shahada ya utabibu wa binadam yaani bado anasoma hapahapa mjini Daslam. Ni mtu wa dini sana na ananiinspire mimi pia. Umri wake ni 22 tu. Hatujawahi kufanya lolote la kumchukiza Mungu na hataki kusikia hata kidogo.

Huyu bint katika mazungumzo amenificha kama aliwahi kuwa na mtu kabla. Mimi binafsi niligundua mwenyewe kuna mtu walikua wanaitana babe babe kama mimi na yeye kwa sasa tunavyoitana.

Nishamuuliza mara nyingi kama yeye ni bikra hataki kusema. Swali, huyu anaweza kuwa bikra? Kwa maana yuko radhi kuvunja uhusiano na mimi kama nikiforce mchezo mchafu, alishaniambia. Yule jamaa wa mwanzo inawezekana waliachana kwa sababu hii? Maana huwa hapendi kuzungumzia suala hilo la huyo ez wake.
wanaume huwa hatuulizi hilo swali nyakati hizi broo kama umempenda angalia mbele
 
swala ni kwamba bado ana mtu wake
ila wewe upo kwenye trial
sasa ponea yako sio mgegedo bali ni uvumilivu na pia ombea kule kwa mwenzio azidi kuharibu utatunukiwa wewe tu...
hatak mambo ya mgegdo maana akili yake haiko huko sasa..kwa sasa anahitaj mtu wa kumsikiliza na kumjengea imani...so be that person..
 
Bikra inakutwa, haiuliziwi sasa unataka akuambie Hana? Au anayo? Usipoikuta je? Bikra unaijua wewe? Utakosa watoto Wakar kwa maswali yako ya kipuuzi...sasa we uliza kila mwanamke una bikra? Uone kama utapata hicho unachotaka...labda za Shabu..we unayo?
 
Wakuu habari zenu,

Niende kwenye mada moja kwa moja.

Kuna bint tumefahamiana muda kidogo. Nimevutiwa naye...
Ni msomi wa elimu ya juu shahada ya utabibu wa binadam yaani bado anasoma hapahapa mjini Daslam. Ni mtu wa dini sana na ananiinspire mimi pia. Umri wake ni 22 tu. Hatujawahi kufanya lolote la kumchukiza Mungu na hataki kusikia hata kidogo.

Huyu bint katika mazungumzo amenificha kama aliwahi kuwa na mtu kabla. Mimi binafsi niligundua mwenyewe kuna mtu walikua wanaitana babe babe kama mimi na yeye kwa sasa tunavyoitana.

Nishamuuliza mara nyingi kama yeye ni bikra hataki kusema. Swali, huyu anaweza kuwa bikra? Kwa maana yuko radhi kuvunja uhusiano na mimi kama nikiforce mchezo mchafu, alishaniambia. Yule jamaa wa mwanzo inawezekana waliachana kwa sababu hii? Maana huwa hapendi kuzungumzia suala hilo la huyo ez wake.
Mwanamke haulizwi km n bikraa... Ingia ndan utajua.... Wanaume wa DAR mnatutia aibu
 
Apo utakuta kuna jamaa pembeni anakula kilaini wakati wewe bado unaendelea kuulzia kama anabikira
 
Christian girls are very confusing when it comes to relationships, kama unampenda don't mess with her rules.. atajichanganya tu siku moja and when the chance come don't make mistake buddy, maana after that unaweza ukaachwa..
 
Back
Top Bottom