Duuh simba hali ambacho hajakichinja yeye, sasa ndugu kidume, rijari ingia mawindoni usake chako, sio unasubiri vilivyoachwa na wanaume wenzio, usiwe kama fisi anayekula mizoga
kwa hiyo mwanamke aliyezaa ni mzoga? kumbuka una dada, shangazi na mama, pia weote ni wanawake!Duuh simba hali ambacho hajakichinja yeye, sasa ndugu kidume, rijari ingia mawindoni usake chako, sio unasubiri vilivyoachwa na wanaume wenzio, usiwe kama fisi anayekula mizoga
Duuh simba hali ambacho hajakichinja yeye, sasa ndugu kidume, rijari ingia mawindoni usake chako, sio unasubiri vilivyoachwa na wanaume wenzio, usiwe kama fisi anayekula mizoga
Mwenzio tayari ana jibu lake moyoni. Jitahidi ushauri wako usiende kinyume na matarajio yake.Yelewii, watoto 3? wee una wangapi?
Una kifua? Kama unakifua cha panzi usioe
Kuna kila aina ya maneno ya kashfa utayasikia plus baba (wa)mtoto wake kuwa anakuja kusalimu watoto ama wanaongea, utaweza?
Mmependana au wewe ulikuwa na 'Depletion of Love' sasa yule kaja kujaza ile nafasi ilokuwa wazi kwa muda mrefu, hebu jichunguze vizuri.
Nakuona unauvaa mkenge kama si mmamba kiulaini
Duuh! Umeover kufikiria, hapa atachanganyikiwa zaidi kwa sababu hata anachotaka tumsaidie hakijui.Ungekuwa ndo wewe una watoto je?
Halafu ye hana na unampenda....ungefanyaje.
Masondi , kama umempenda kwa moyo wako, usiangalie mambo mengine.wewe fuata moyo wako unaemaje.