Mimi ni baba yako binti yangu!Nyie wavulana wa mikoani vilaza sana asee!
Nani kakwambia mtu anapanga ndoto anayoenda kuota?
*****!
Mkuu unanifahamu??Mimi ni baba yako binti yangu!
kwa hiyo kumuota tu unahitaji ushauri... je angekuwa anakupopobawa ungefanyaje... si ungeomba huruma ya kigwangalla...
Mkuu umenifanya nicheke kwenye haisi mara tatu kila mmoja ananishangaa..!!!
Mkuu unanifahamu??
hahahahaa binti angalia sniper huyoMkuu unanifahamu??
Hahahahhahahahaa binti angalia sniper huyo
Hahahaahahaaaa sina kabisakwanini? Wee huna karama ya uotaji ndoto?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukiona hivyo ujue na yeye anakuota.
Kamfate muhadithiane mnavyootana.
Kweli mkuu.Mwanga huyo anakufanyia mambo ya kiswahili
Hahahah
Sniper my butt
si umetaka mwenyeweHahahah
Sniper my butt
Ukijaaliwa basi uniote!Hahahaahahaaaa sina kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wavulana wa Dar bhana! Kwanini usimuote mama yako uote mama wa wenzio?