muda ukifika, afu mume hatafutwi. 2mezaliwa wawili tu napambana nijitegemee usihofu
my dia ungeishi nae ungeelewa nin nasema, kunaushauri naweza ufanyia kazi thanks anyways
Kwa nini usizungumze na kaka yako badala ya kukimbilia kwa wifi yako?
nimezungumza nae mara nyingi yeye alalamika kua mkewe anapenda udiva since anakazi nzur anamzarau,
hapa hata mimi nimeona ni wivu wa kiwifi.....The right thing yo do?
Get a life! Kama unakaa kwa kakako jipange uhame ili uache kumchukia wifiyo. Wivu wa kiwifi unakusumbua. Wewe una mume ama bf? Umeshamchunguza vya kutosha?
hapa naona sababu siyo wifi ana nyodo, bali kaka hajiamini.nimezungumza nae mara nyingi yeye alalamika kua mkewe anapenda udiva since anakazi nzur anamzarau,
kaka yangu ni player kwa kutupwa wifi akisafiri anateta wanawake hadi ndani, mkewe ana nyodo sana anajifanya mjuaji anadharau na hapendi kuongea. Mungu anisamehe sometimes nataman kumwambia uplayer wa mumewe but nahisi ntavunja ndoa yao ingawa roho nyingine inaniambia yeye si anajiona matawi mwache atendeke. Jaman what is the right thing to do?

Hapo sio kwamba unamkomoa wifi yako tu, hata kaka yako unakuwa haujamsaidia maana kuna HIV usije ukasahau.
Mimi nafikiri wakati umefika kwenye YES sema yes na kwenye NO sema no, hata kama jambo analifanya mtu wako wa karibu (kaka).
Kama hauwezi kumwambia wifi yako uchafu wa kaka yako, una nafasi ya kuongea na kaka yako ili aacha hiyo tabia. Kukaa kimya naona kama sio dawa.
The right thing to do is to talk to your brother!