Majipu mengi ya Kivuko, mabehewa mabovu, Escrow, mikataba ya madini, Gesi , ATC , TTCL nk Sasa yamebuni mbinu ya kumkwepa Magufuli hata NIDA nao pia wale waliokula pesa za chenji ya Rada akina shukuru kawambwa na wenzake wapo kijanja zaidi kuhakikisha kuwa wanamshinda Magufuli ashindwe kutumbua mpaka vipere vidogo. Kile kikundi cha waganga wa kienyeji Toka Gambia na Nchi zingine kimempatia pesa nyingi January Makamba kutokana na Umati wa wateja kumiminika huko kuzuia Majipu Yao yasitumbuliwe , kufa kufaana wajanja ni mda wao wa kula pesa za wenye Majipu wanaogopa sindano za Magufuli .