Ndaxy EMI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 526
- 319
Huwezi kuforce ukubakike..... fanye vyema utakubalika tuuSiyo kidogo wanatumia ukurunzinza kukubalika
Huwezi kuforce ukubakike..... fanye vyema utakubalika tuuSiyo kidogo wanatumia ukurunzinza kukubalika
Huu utamaduni hata Mwinyi ulimkumba
aliitwa 'mzee Ruksa' kama kumtukana....
Mkapa alipoingia aliagiza picha Mwinyi iondolewe haraka hata Picha yake haijawa tayari..
na yeye Kikwete alivyoingia akashangaa anaandamwa..
Magufuli asipoangalia atakuja kuandamwa asiamini

Kwahiyo kwa akili yako wako sahihi?Waandishi kama hawa huwa wanasahau picha kamili.
Wanachagua upande mmoja wa picha ili kupumbaza watu.
Swala lililopo ni kuwa marais wote wawili waliotajwa Kikwete na Magufuli hawako perfect, ila hakukuwa na mgombea yeyote aliyegombea nao ambaye angefaa zaidi yao.
Magufuli sio perfect, lakini Lowassa is a disaster! Kwahiyo watu wako sahihi kufurahia urais wa Magufuli, maana option ya pili ilikuwa Lowassa ambaye ni zinga la disaster. Watu wangejuta.
Kikwete pia hakuwa perfect, lakini ni many times better than Lipumba na Slaa. Uchaguziwa 2005 watu walifurahi kupata Kikwete badala ya Lipumba ambaye ndiye aliyekuwa option ya pili.
Kwa upande wa Magufuli, ni kweli kuwa anaonekana kusahau kuwa kampeni zimeisha na sasa ajikite zaidi kwenye kazi badala ya kuzunguka na waandishi. Hata hivyo hili ni swala la muda tu. Ukifika wakati wake yataisha.
Nyie mna maigizo?wapinzani wana gubu...
Ndio mnavyodanganyaga watu je ukurunzinza?Huwezi kuforce ukubakike..... fanye vyema utakubalika tuu
Eti kikwete anachukiwa....
Nani kakudanganya?
Ni kweli kikwete anapendwa na mafisi, wala rushwa, majangili, wauza unga na mafisadi, wanampenda na kum-miss sana Kikwete wote walionufaika na udhaifu wake! Japo anachukiwa sana na wananchi wazalendo, wavuja jasho na masikini wa nchi hii waliodhulumiwa raslimali zao kwa manufaa ya wachache, tunamchukia sana sana sana! And mind you; the last time I checked; wanaomchukia ni wengi sana.Eti kikwete anachukiwa....
Nani kakudanganya?
Hao wameshaaribiwa na Mombasa Mkuusasa wewe mnywa viroba utajulia wapi kuwa anachukiwa?
Asante sanaNi kweli kikwete anapendwa na mafisi, wala rushwa, majangili, wauza unga na mafisadi, wanampenda na kum-miss sana Kikwete wote walionufaika na udhaifu wake! Japo anachukiwa sana na wananchi wazalendo, wavuja jasho na masikini wa nchi hii waliodhulumiwa raslimali zao kwa manufaa ya wachache, tunamchukia sana sana sana! And mind you; the last time I checked; wanaomchukia ni wengi sana.
mtukufu raisi kasema tumuombee, kazi tuliyompa ni ngumu. Tuzidi kumuombea na kumuamini, tusimtabirie kushindwa. Tumpe muda time will tell.
Wale mlio wasingizia kwa ulafi wa waziri mkuu? Mulizeni boss wakeNa chadema kazi yao nikuyahifadhi
Waandishi kama hawa huwa wanasahau picha kamili.
Wanachagua upande mmoja wa picha ili kupumbaza watu.
Swala lililopo ni kuwa marais wote wawili waliotajwa Kikwete na Magufuli hawako perfect, ila hakukuwa na mgombea yeyote aliyegombea nao ambaye angefaa zaidi yao.
Magufuli sio perfect, lakini Lowassa is a disaster! Kwahiyo watu wako sahihi kufurahia urais wa Magufuli, maana option ya pili ilikuwa Lowassa ambaye ni zinga la disaster. Watu wangejuta.
Kikwete pia hakuwa perfect, lakini ni many times better than Lipumba na Slaa. Uchaguziwa 2005 watu walifurahi kupata Kikwete badala ya Lipumba ambaye ndiye aliyekuwa option ya pili.
Kwa upande wa Magufuli, ni kweli kuwa anaonekana kusahau kuwa kampeni zimeisha na sasa ajikite zaidi kwenye kazi badala ya kuzunguka na waandishi. Hata hivyo hili ni swala la muda tu. Ukifika wakati wake yataisha.
Historia itaendelea kuwahukumu sana ccmKujirudia huku kwa historia ni jambo lililotarajiwa na yeyote anayefuatilia siasa za nchi hii. Baada ya CCM kutosa itikadi yake ya Ujamaa na Kujitegemea mwaka 1991 na kuwa chama kisicho na dira wala mwelekeo, ulijengeka utamaduni wa siasa za kilaghai na kinafiki ambazo zililenga tu katika 'kusaka tonge' kwa wahusika. Bahati mbaya katiba inampa rais madaraka makubwa hasa katika uteuzi wa nafasi za kisiasa na kiutendaji, hivyo rais anapoingia madarakani inakuwa ni fursa ya wasaka tonge kujinadi ili rais awakumbuke 'katika ufalme wake'. Hii hali inaongezewa nguvu na utamaduni uliojengeka wa rais kuteua aidha 'washikaji' wake (cronies) au wale wanaojikomba kwake (sycophants) - kwa kuwa uwezo na uadilifu havipo katika msamiati wa CCM. Hili kundi la pili ndilo lilimsifu na kumtukuza sana Kikwete miaka 10 iliyopita na sasa wanafanya hivyo kwa Magufuli lakini wamemgeuka Kikwete. Kwa vile Magufuli haelekei kujifunza kutokana na hii historia, ajue itajirudia!