suzie _barbie
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 1,523
- 3,092
Ushauri huu ni the best sidhan kama ataacha kukupaanzisha kibiashara kwa hela yako akione kwanza kisha hakikisha anakiona kweli na baada ya hapo jifanye unatafuta mkopo wa kukuza biashara hapo lazima akupatie mwenyeweee