Namuacha shemeji yenu!

Wew unajua kesho yake uyo jamaa kuweni wavumilivu
 
kwann utamani pesa za mwenzio? eti kuwa na mwanaume ambae hana pesa sijui unaonaje, hivi unajua kuwa baba ako angekuw na pesa asingemuoa mama ako nawe usingezaliwa? kwahiyo ifike wakati ushukuru wanaume wasiokuwa na pesa maana ndo sababu ya ww kuja dunian na kupost huu ujinga
 
Sawasawa tumeelewa
 
Sitamani Binti zangu wawe na mentality kama yako!!

Ni nani alizaliwa na pesa!!?hizo pesa mnazotanguliza kama ndio mhimili mkuu wa mahusiano kama zinawatosheleza kwanini msizitafute muishi nazo!!?

Ukiona mwanamke anatafuta mwanamme mwenye Hela ndio aishi nae hesabu huyo mwanamke Hana akili!!

Utajiri na umiliki was pesa in nyakati TU ndio huamua!Kuna kipindi unaweza ukawa na pesa na hazikai kutokana na changamoto unazopitia!!

Money slavery will kill women!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…