Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 15,819
- 40,326
Habari njema...
Hamuwezi amini ila imeanza ku work.
Kwa muda wa siku mbili humu kumekuwa na post za utani na nyingine za kweli zikitishia kutuma video za matukio ya uhalifu kwenda kwa pompeo au Bibi bensouda.
Mara ya kwanza nilipuuzia ila aisee mbinu hi imeanza kuprove effectiveness wale jamaa wanaovaa kijani mmoja wao ni rafiki yangu amenidokeza kwamba Kuna mahali wameambiwa kwamba wanapofanya vitendo vya kukihami au kukitetea chama kwa tafsiri yao basi ni vema kusiwe na utambulisho unaowadefine wao ni kina Nani ili kuepuka kurekodiwa kwa pics na video hizo kwenye mitandao ya kijamii.
Nikamuuliza kwann mbona hizi ni siasa za miaka yote akasema chama kimeanza kuwa na wasiwasi na matukio ya kweli yanayorekodiwa Kama ushahidi na mwisho wa siku yatatumiwa dhidi Yao.
Natoa wito kwa wapenda haki popote walipo wakusanye ushahidi wa kweli bila kumsingizia watu kama ule wa heri James na ule wa bulembo aliesema zitto auwawe.
Kusanyeni ushahidi huu msiufute utatufaaa Sana badae.
#hashtagnamtumiapompeo# imewaogopesha Sana.