Nakumbuka Kuna msichana mmoja nilimwona BARABARANI anasalimiwa na Wanangu wawili Kwa mkono Nikasema na Mimi nikifika namsalimia nilivyofika kuutoa mkono wangu shobo kama zote akaukwepa plus kuniangalia Kwa dharau utadhani anasema hii takataka nayo.Jamaa zangu wakaona wakawa wanananicheka wakiniambia huyu yupo very selective [emoji38][emoji38] .Nikacheka tu Kwa masikitiko na mimi nikawaacha waendelee na maongezi Yao.