Namtongoza ila haeleweki

Hapo unapambana na nature,usipoangalia utanunua Sumu kwa kujipimia,ogopa cheap shot,huyo ukiingia hutoki atakuweka kwenye chupa walahi
 
Hilo nalo litapita, maumivu ya nini dont take her serious kama ulivyosema hakuvutii, sasa unaumiaje? Mkaushie kidogo train your mind au feelings kausha 3 days, 5days then 7 days….unaweza msahau….
 
Kunanushaur nishautoa mahali,
Ngoja nitafute ile comment nije kuipaste hapa
 
Yan wazee wa 25+ unasemaje wako kwa foolish age?
 
Yan wazee wa 25+ unasemaje wako kwa foolish age?
25 bado ni foolish age.

Wasichana wengi kengele ya tahadhari huanza kulia wakigonga 28 maana wanaiona 30 hii hapa. 25 huko baaado tena kama ndo pisi kali ana mtako na dimpozi ndo kabisaaa! 😁😁😁

Mwaka mpya umekukuteje?
 
Achana na mapenzi kijana sio fungu lako, soma kwanza.
 
Mpunguze shobo za kijinga, me demu adi nimtongoze niwe na viashiria vya 100% kuwa nitamla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…