Namtazama Arsene Wenger kama funzo katika maisha yangu

Makau Js

Member
May 25, 2017
93
233
COYG-Namtizama Arsene Wenger kama funzo katika maisha yangu ,najifunza kutokata tamaa kwa kile nilichopanga kufanikisha .

If you are looking for something dont comeback until you get it.Its not over until you win.Ni bora niwe mjinga ili niwe mwerevu kuliko kuwa mjuaji na nikawa mpumbavu.Najifunza kitu kupitia soccer &Wenger#GTID
 
Asee kweli unajua wenger alipotokea na anapoelekea...msome vizuri wenger umjue bro huyo mzee sio good references atakupeleka shimon..ni ushauri tu bro uamuzi ni wako
 
  • Thanks
Reactions: SDG

Kukata tamaa ni dhambi ,nimetafakali sana kwa nini Arsene Wenger amekuwa king'ang'anizi kuendelea kuwa coach wa Arsenal wakati ameshindwa kuleta makombe makubwa?

Nimepata jibu ya kuwa hajatimiza malengo yake na hawezi yatimiza ila anaonyesha appattite na njaa ya kutimiza ndoto na malengo yake ,kwa ujinga wangu nimejifunza hili ila na nitalifanyia kazi-Its Not Over Until You Win .
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Umekosa mtu wa kumtazama au? Em tafuta historia ya Wenger alipotoka na alipo. Wenger ni mbishi tu wa kukubali matokeo and not otherwise. Kama unatafuta mtu ambaye hakuwahi kukata tamaa kasome historia ya Abraham Lincoln au kama itakuwa ngumu hata Trump anaweza kukufaa.
 
Sasa unadhani Wenger atawin???
Kukata tamaa ni dhambi ,nimetafakali sana kwa nini Arsene Wenger amekuwa king'ang'anizi kuendelea kuwa coach wa Arsenal wakati ameshindwa kuleta makombe makubwa?

Nimepata jibu ya kuwa hajatimiza malengo yake na hawezi yatimiza ila anaonyesha appattite na njaa ya kutimiza ndoto na malengo yake ,kwa ujinga wangu nimejifunza hili ila na nitalifanyia kazi-Its Not Over Until You Win .
 
Ungekuwa mshabiki wa Arsenal toka kitambo, sidhani leo hii ungemuona huyu mzee rolemodel.
 
Naona watu mnajitahidi kumkatisha tamaa mwenzetu.
Yeye kasema "Wenger anafaa kuwa roll model kwa sababu hakati nia, always yuko motivated ingawa anajikwaa, anaamka na kusonga mbele". Hivyo mwenzetu kajifunza kutokata tamaa hata vikwazo vikija vipi. Ingawa inachosha.
Mi nadhani hakuna "mfungaji bora wa goli la mkono" kama Morinho. No 6 vikombe 3.
 
Tunamwambia hali halisi, sometimes unatakiwa uwe aggressive...
 
Ungekuwa mshabiki wa Arsenal toka kitambo, sidhani leo hii ungemuona huyu mzee rolemodel.

Ni kweli jamaa ni role model. Kama kufeli, amefeli sana, kama kusemwa kasemwa mno, kama kuchukiwa ndio usiseme, lakini yeye anasonga mbele. Nadhani kwake hakuna msamiati wa kukata tamaa
 
Sababu za kufeli na kusemwa ni zipi? Na chanzo cha hizo changamoto ni nini?
 
COYG-Namtizama Arsene Wenger kama funzo katika maisha yangu ,najifunza kutokata tamaa kwa kile nilichopanga kufanikisha .

If you are looking for something dont comeback until you get it.Its not over until you win.Ni bora niwe mjinga ili niwe mwerevu kuliko kuwa mjuaji na nikawa mpumbavu.Najifunza kitu kupitia soccer &Wenger#GTID
mkuuni haki kukomalia kufanikisha mipango yako kwa kuvuruga mipango ya watu wengine au kuumiza wengine?? ,mi binafs naona wenger ni mfano mbaya sana sipati picha km angekua kiongoz wa nchi maana hio nchi lazima ingekua na machafuko tuu
 
Acha ushamba Wenger hawez kuwa na funzo katika maisha ya mtu mwenye akili timamu
 
COYG-Namtizama Arsene Wenger kama funzo katika maisha yangu ,najifunza kutokata tamaa kwa kile nilichopanga kufanikisha .

If you are looking for something dont comeback until you get it.Its not over until you win.Ni bora niwe mjinga ili niwe mwerevu kuliko kuwa mjuaji na nikawa mpumbavu.Najifunza kitu kupitia soccer &Wenger#GTID
Benjamin James
 
Back
Top Bottom