Namtakia Maisha Marefu Dk. Wilbroad Peter Slaa (PhD)

Status
Not open for further replies.
yeah man slaa ni wa ukweli ki vile yaani
majita wote wanamkubali ile kinoma huku maskani
kikwete mkuda tu
 
Ana sifa nyingine ya kipekee kabisa.
ni padri aliyemrithisha ubunge mchungaji. Ni mzalendo kwelikweli! . Rais bora afrika.
 
Nashukuru kwa mtoa mada. Uyu daktari hana mfano wa kulinganishwa nae. Mi maisha yangu yote ntasema na ntaendelea kusema kuwa the difference btwn JKNYERERE and my Dr. is only the matter of who came first and otherwise the difference is negligible! Achana na Topical changia mada uyu anapotezea muda. Mnasema dr.yeye anakimbilia kuwataja MPs wengne eti nao wanamchango ka wa Dr. yaani Topicals hajui kuchanganua na anakimbilia kejeli. Tukisema Nyerere ni hero,si kwamba kila kitu chake kilikuwa kizuri,ila merits outweigh wrongs,that is all. Kumbuka ni binadamu,kama huoni zuri kwake usitukane changia hoja,kumbuka ana heshima yake. Ukishindwa kumheshimu kisiasa,mheshimu kama PhD,ikiwa ngumu muone kama mtu mzima,au basi mtanzania makini. Eti topical alishawahi kuongea na Dr.Slaa ofisini kwake,ivi una akili timamu?ulienda kama nani?kama ulienda kuomba msaada kama mkwere na angali hana ulitaka akakukopee au akupe jibu ambalo hukulipenda? Achana na ushabiki! Hapa hamna haja ya matusi wakuu!
 
Long live Dr. Jakaya M. Kikwete (PhD*)

* A PhD is a PhD
 

Huo ndio unafiki kwa nini usingemwambia huko huko mlikoonanana? Au ndio unataka kumwambia kupitia thred hii?
 

Ni yupi unayemtakia maisha mafupi?
 

Hilo neno kwenye red linatumika sana kanisani.Ulitaka atuongoze kwa maono ya kanisa?
 
**** you Tropical. Dr Slaa is the only person who can liberate the lost bongo land
 

Ninakubaliana na wewe kuwa kweli anayo huruma.Almuona mwanamke anatangatanga akamuhurumia na kumweka kimada,kumbe maskini ni mke wa mtu.Lakini yeye hakujua kama ameolewa kwa hiyo sio kosa lake.Ila wasiwasi wangu ni kuwa pengine angefanya maamuzi mengi mabovu bila kujua endapo angepata urais.Hii inathibitishwa pia na kukurupuka kwake kutangaza vitu asivyokuwa na uhakika navyo,kwa mfano kontena la kura.Hili lilimbomoa sana maskini!
 
Sishangai sana
Wapo watu hapa wanaweza kumuosha Jakaya miguu yake kwa machozi yao na
kisha kumsafisha kwa nywele zao.... Pia wapo ambao wakiiona picha yake wanakarahika
kiasi cha kusikia kichefuchefu...
 
Nilidhani JF inahusisha bright people, kumbe ina mabogus kibaoo (Tropical) na wenzake
 

Kwa hiyo kumbe una chuki binafsi!basi ingekuwa vema kama kabla ya kuchangia, kwa faida ya walaji wa mawazo yako ungelisema wazi kuwa ,wewe na Slaa mna mgongano binafsi katika jambo fulani!!
 
"Ewe Mungu kama nia yangu ya kugomea urais ni nzuri niwezeshe nishinde,kama sio nzuri niepushe"

Kwa macho yangu na mskio yangu nilimuona Slaa akiomba dua hiyo.Naona ilikubaliwa.Hivi bado ana matumaini tena?
 
Nilidhani JF inahusisha bright people, kumbe ina mabogus kibaoo (Tropical) na wenzake

Watu kama kina tropical ni kuwavumilia tu,kwa kuwa ni wanajf wenzetu!mama yetu kazaa watoto wengi.Wengine wapole,wengine wakorofi,wengine wana akili timamu na wengine ni wehu!hivyo ni vizuri kuvumiliana na hasa tukizingatia sisi sote ni watoto wa mama na baba mmoja!!
 

dah! mchizi we sio kabisa yaani
slaa kichwa babuuu yaani we huoni slaa kapambana na nini?
mi naona we ndo unamatatizo mjita wangu.
 






Dr. Phd Slaa katufungua macho. Anemchukia ajiunge na sudan kaskazini au uncivilised states of afghan,pakstan,the nigeria of 2morrow etc ili anywe damu za watu wasio na hatia.
 
Hilo neno kwenye red linatumika sana kanisani.Ulitaka atuongoze kwa maono ya kanisa?

Better kuongoza kwa maono ya kanisa kuliko majinn, check on the jinn states with jinn laws prescribed on satan verses like north sudan,irak,afghan,nigeri,pakstan,somaliaetc ni damu tupu :angry:=thawabu mbinguni.Tehe tehe tehe to hell those maono.
 

Sikumbuki kumtukana mtu hapa nimesema ukweli tu

Nimeenda kikazi, katika majadiliano yangu nikamuuliza kwanini hamuunganishi nguvu na chama cha CUF way back 2007??

Akasema Lipumba anasali sana (hakujua mimi ni Muslim)

Nikwambia does it matter? ...just a hint?

Yaliyoendelea nikafahamu ana matatizo makubwa kutokana na "Background yake na qualification zake"

Kazi huwa zina tabia ya kubadili mitazamo...siyo kosa lake simlaumu labda aseme amebadilika...

Ndio maana nasema ni mzalendo mwenye uzalendo wa kibaguzi

Hitler ni mzalendo eti..lakini ni mbaguzi pia

I love Tanzania, I love Chadema, but Slaa big wekeni presedential material "tutapiga makofi wote"
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…