mwamba_ngori
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 251
- 295
Mchumbie kabisa na upeleke posa kwao utakubaliwaJaman kuna mdada hapa mim sijui hata nitumie njia gan kumpata nampenda serious na nimesha mpa maneno na mistar ya kila namna lakin ni mgumu ile mbaya yani.
Sio kwamba mim na sura mbaya amna ni mvulana wa kawaida tu na wala sio kama nina kazi mbaya amna nina kazi nzuri tu na huyo msichana yupo single lakin hanitaki kabisaa ni week 3 sasa nasumbuana nae wakuu nipeni njia za kumnasa huyu dem mgumu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine wanawapa pesa, wewe unatoa maneno! Amekuvumilia sana kwa wiki3 zoote izo kweli uvulana raha sanaJaman kuna mdada hapa mim sijui hata nitumie njia gan kumpata nampenda serious na nimesha mpa maneno na mistar ya kila namna lakin ni mgumu ile mbaya yani.
Sio kwamba mim na sura mbaya amna ni mvulana wa kawaida tu na wala sio kama nina kazi mbaya amna nina kazi nzuri tu na huyo msichana yupo single lakin hanitaki kabisaa ni week 3 sasa nasumbuana nae wakuu nipeni njia za kumnasa huyu dem mgumu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan apendeke kwa maneno tu bla blaAchana nae!! Penda unapopendeka!! Kufosi kingi mtakuja kufa na presha bure!
nina kazi nzuri tu
ni mvulana wa kawaida tu
Tupe ID yake tutoe msaada wa kukutongozea
Kama yupo humu basi anakupenda Ndio maana kakukataa usije kumlazmisha please achana nae kaa mbali
Yaan apendeke kwa maneno tu bla bla