Namtafuta X wangu

Na wewe ni mhanga haya pole maana naona nimetupa jiwe gizani,
 
Kama namjua vileeeee...
Kwao temeke?
Anapendelea kusafiri na magari makubwa nje ya nchi like zambia, etc?
Jina lake laanzia na Abdul?

Hata kama anatafutwa na wasiojulikana we utasema tu unamjua

[emoji601][emoji379][emoji379]
 
Ni kitambo hatujawasiliana kutokana na mimi kwenda kusoma nje ya nchi

Nimemtafuta kwa social network lkn hayuko active mana last status ni ya miezi tisa nyuma

Kwa yeyote anayemfahamu huyu m2 ani pm
Kuna clip moja ya wapiganaji wa alshabaab ngoja niicheki vzr kuna mmoja amefanana nae
 
Ni kitambo hatujawasiliana kutokana na mimi kwenda kusoma nje ya nchi

Nimemtafuta kwa social network lkn hayuko active mana last status ni ya miezi tisa nyuma

Kwa yeyote anayemfahamu huyu m2 ani pm
Embu tuma na wewe pic yako ya sasa itakuwa rahisi tukionana nae tumuonyeshe unavyofanania kwa sasa.

Inaonekana alikuwa anakusugua vizuri yaan kuranda kote nje ya nchi bado umerudi unamtafuta yeye tu
 
umesha wahi kurogwa ? Kile kirogo cha kukufanya umchukie handsome wako unipende Dududaya kama mimi?

Eeeeh huna lolote

Kwa maneno hayo.. umelosti nini sikukuu hii.. yaani hauna jipya eeeeh
 
Huyu atakuwa kajiunga na al-shabab
 
Hapana temeke cijafika sina jamaa huko tulikuwa tunakutana maeneo mengine na namba yake ilokuwa inaisha na ***6888836 haipo hewani
Umejaribu kuwauliza watu wasijulikana? [emoji15] [emoji134] [emoji56] [emoji61]
 
Tafuta pesa kijana mwenzio kashapata mwenye pesa
 
Utakuwa umeliwa 0713. Hao watu walivyokosa huruma na binadamu wenzao ww unapata wapi nguvu ya kuwatafuta. Au unataka kuwa mke wa al-shabab?
 
Ni kitambo hatujawasiliana kutokana na mimi kwenda kusoma nje ya nchi

Nimemtafuta kwa social network lkn hayuko active mana last status ni ya miezi tisa nyuma

Kwa yeyote anayemfahamu huyu m2 ani pm
huy mkimbiz alirudishwa kwao kweny mabom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…