Namtafuta X wangu

celline5

Member
Joined
Dec 25, 2017
Posts
10
Reaction score
2
Ni kitambo hatujawasiliana kutokana na mimi kwenda kusoma nje ya nchi

Nimemtafuta kwa social network lkn hayuko active mana last status ni ya miezi tisa nyuma

Kwa yeyote anayemfahamu huyu m2 ani pm
 
Ni kitambo hatujawasiliana kutokana na mimi kwenda kusoma nje ya nchi

Nimemtafuta kwa social network lkn hayuko active mana last status ni ya miezi tisa nyuma

Kwa yeyote anayemfahamu huyu m2 ani pm
Kama namjua vileeeee...
Kwao temeke?
Anapendelea kusafiri na magari makubwa nje ya nchi like zambia, etc?
Jina lake laanzia na Abdul?
 
Kama namjua vileeeee...
Kwao temeke?
Anapendelea kusafiri na magari makubwa nje ya nchi like zambia, etc?
Jina lake laanzia na Abdul?
Kwa temeke na na abdul ni sawa ni pm bandugu
 
Wifi yangu mbn hunipi feedback it seems unamjua
Natafuta namba yake hapa siioni wifi yangu...
Najaribu kulog in fb nako nimesahau password ili nikupe jina analotumia sasa fb.
Shida now sina access pale home ningekupa mawasiliano.
Ila umeenda temeke? Au uko mbali?
Last time niliwasiliana nae alikuwa nje ya nchi nikapoteza simu zangu mie.
 
Hapana temeke cijafika sina jamaa huko tulikuwa tunakutana maeneo mengine na namba yake ilokuwa inaisha na ***6888836 haipo hewani
 
daah dili dirisha ndo hii
 
Umenishtua sana, nina demu wangu alikua anamshkaj wake aliyemtoka bik alienda mbele kusoma wakapanga akirud waoane anamtumia dollar za kutosha tunakula wote, nikajua ndo hio njemba imerud, haki yanani ningeongea na muds wafunge huu uzi.
 
Una uhakika hamna kitu kama hicho, ngoja koromije boy arudi hawa watu alikua ana watafuta
Acha ubaguzi lol...
Humuoni bashe?
Unajuwa maana ya uraia?
Jifunze kutofautisha uasili wa MTU na uraia wake.
Tuko watanzania wengi wenye asili tofauti na watanzania asilia.
Tumezaliwa Tanzania wazazi wetu pia na babu zetu walizaliwa nchini japo kwa nje twaonekana rangi zetu sio sawa na wale waasili kabisa.
Acha ubaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…