Namtafuta website developer

Kalu20

Senior Member
Joined
Aug 20, 2014
Posts
191
Reaction score
100
Habari zenu wadau? Nnashida na mtaalamu wa kutengeneza website, naomba aje PM Tuyajenge
 
PAWAHOST.COM sasa inatoa offa kabambe kwa huduma mbalimbali,Kama ilivyoorozeshwa hapo chini:-
1. Utengenezaji wa Website kwa gharama kuanzia 150,000/=
2. Utengenezaji wa mifumo mbalimbali kama ya Kibiashara ,shule ,Hospitali 250,000/=
3. Utengenezaji wa Application Mbalimbali zinazoweza kuanzia 75,000/=
4. Utengenezaji wa forums na chatting websites 250,000/=
5. Website Kwa Ajili ya Kuuza Vitu Mbalimbali Online(Kama Amazon)=350,000/=

Pia tunatoa huduma ya Domain Reseller na Hosting kwa package zifuatazo:-
1 GB Disk Space
20GB Bandwidth
UNLIMITED Email Accounts
Free Data Backup
Free SSL Configuration per domain

Kwa package hizo hapa juu gharama ni 55,000 Tu kwa Mwaka,Tupigie sasa kwa namba +255687 535650 ,Email :info@pawahost.com ,Website :www.pawahost.com
 
Nawashauri watu wawe makini na hii web, washuke chini ya site waangalie kama wataweza bonyeza maneno yotote na page yake ikafunguka(Nimejaribu toka mchana lakini nimeshindwa kwahiyo maana yake hii ni site ya kupigwa pesa) ...... THIS IS A SCAM SITE....MSIMUAMINI HUYU.
 
One thing Nilichogundua pia, Wanasema Free SSL, But their domain haina hiyo SSL πŸ™‚πŸ™‚????
 
One thing Nilichogundua pia, Wanasema Free SSL, But their domain haina hiyo SSL πŸ™‚πŸ™‚????
SSL tunakupa free mkuu,and all our services are associated with money back guarantee,if you are not sartisfied with our service in 30days of service you will be refunded.
 
SSL tunakupa free mkuu,and all our services are associated with money back guarantee,if you are not sartisfied with our service in 30days of service you will be refunded.
From my Experience SSL ni Case sensitive sana kwenye website or domain, but ur site/domain haina how could you provide it for me?
 
Ssl ni bure si
From my Experience SSL ni Case sensitive sana kwenye website or domain, but ur site/domain haina how could you provide it for me?
SSL ni bure siku hizi na Lets Encrypt so sio big deal unavyofikiri, hiyo site inayo ssl ukienda https
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…