Namtafuta Upendo Mbogo

Namtafuta Angela Damas yule aliekua miss Tz.
 
Mimi namtafuta kangurumwembe nyantandule john
 
Hahaha hapa watu wamechakachua vya kutosha nimebaki nacheka tu khaa! Jf never boring @ the boss !
 
namtafuta esta bulaya .nimemis sana .esta ni pm plz i miss u so much
 
Namtafuta Fatuma,ni my classment Kishoju sec, ani PM!!
 
Huyu jamaa namfahamu. Baada ya mto Songwe kuacha njia masika yaliyopita, jamaa akajikuta yupo upande wa Malawi na passport ya kuingia TZ hana~

aaah kwa hiyo yupo malawi sio..
 
mi' namtafuta Pastory Bandiho fany hima uni-PM mkuu!
 
Amani Mkumbo uko wapi? mara ya mwisho ilikua darasa la tatu ndipo tulipopoteana,lol!pm
 
Namtafuta Edina Mkomwa, mwenye kujua ani PM
 
Nami namtafuta Deus William.. Popote ulipo ni PM tafadhali..! Lol
 
Huyu jamaa namfahamu. Baada ya mto Songwe kuacha njia masika yaliyopita, jamaa akajikuta yupo upande wa Malawi na passport ya kuingia TZ hana~

Kwa hiyo anasubiri kwa hamu mafuriko mengine ili mto urudi kwenye former course teh teh teh...!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…