UNDENIABLE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 2,326
- 1,316
Story kapige na sisimizi
Duuuuu.............! mkuu nahisi tatizo lako ni kubwa sana kuliko kawaida! Nimeshawahi kuongea nawewe kwa njia ya simu, you have a very serious problem ndugu yangu! Unavyo comment hivi na unavyoongea kwenye simu ni the same thing!
My sincere conclusion: Fanya ufanyavyo utafute tiba mkuu! Seriously unaumwa mkuu wangu!
MUNGU na akusaidie sana mkuu! Nakupa pole sana na kukuonea huruma mkuu!

Thought disorder !!! Punguza substance !!!
Poverty of thought !!! Unatumia which substance
Haya ndio maneno yako makuu: Disorder na substance! sisimizi na pasua!
Find the proper medication kaka! Upo kwenye hali mbaya sana mkuu!
Psychosis is affecting you
Hahaha ngoja nipite hivi...> > > > > hope Mungu mwenye mamlaka juu ya mbingu na nchi atakusaidia kaka! Pole sana!
Munawar na Tunzo mbona mwapanic fasta hivyo watoto wa kiume nyie? Mdau alikuwa anasherehesha jukwaa tu! Mbona Apologise lady amemjibu mdau kiungwana kabisa!
Mkuu UNDENIABLE hawa jamaa wana stress sana, bidhaa zao za kichina hazitoki ndio maana wanahamaki bila sababu, tumeshawazoea
Duuuu......!!!!!!! wapambane waache hasira!
Mkuu UNDENIABLE hawa jamaa wana stress sana, bidhaa zao za kichina hazitoki ndio maana wanahamaki bila sababu, tumeshawazoea
Acha umbea mkuu, watu wataingia topeni shauri yako..