Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
Popote ulipo au mwenye namba ya Tunzo naomba anipatie, ikiwezekana niipate muda huu.
Mkuu kashakupiga? Pole sana
Mkuu kashakupiga? Pole sana
Punguza umbeya !!! Pasua mkubwa wewe !!!
Bila shaka atakuwa dalali mwenzio
Mkuu kashakupiga? Pole sana
Mkuu namba ni 0713415537
Si lazima uchangie kila kitu, la sivo kma ni me tutakuitia yule jamaa wa uk aliepata mchumba tz na ww uwe wa pili
Hahahaha nomaa sanaa !!!! Hivi kwa nini saju anakuita dalali ??
Jamaa mmbeya tu !!! Pasua tu !!! Kila thread utamuona !!!
Jamaa mmbeya tu !!! Pasua tu !!! Kila thread utamuona !!!
Dalali #Tunzo acha matusi, dalali mwenzako Munawar hatukani wakubwa zake, isitoshe huyo jamaa yako wa AR itakuwa ushawahi kufanya nae kazi mbona unamtaja taja sana
Dalali #Tunzo acha matusi, dalali mwenzako Munawar hatukani wakubwa zake, isitoshe huyo jamaa yako wa AR itakuwa ushawahi kufanya nae kazi mbona unamtaja taja sana
Munawar na Tunzo mbona mwapanic fasta hivyo watoto wa kiume nyie? Mdau alikuwa anasherehesha jukwaa tu! Mbona Apologise lady amemjibu mdau kiungwana kabisa!Mkuu kashakupiga? Pole sana
Munawar na Tunzo mbona mwapanic fasta hivyo watoto wa kiume nyie? Mdau alikuwa anasherehesha jukwaa tu! Mbona Apologise lady amemjibu mdau kiungwana kabisa!