Namtafuta rafiki.....!

Namtafuta rafiki.....!

Kumbe hata kutafutana hapa poa....Namtafuta rafiki yangu anaitwa Mandawa mara ya mwisho tulionana 1998, rafiki uko wapi???????????????
 
Namtafuta mtoto wa sekioni kitojo nmemsahau jina lake. the last time tumeonana tulikuwa standard one changa primary school Tanga mwaka 1992.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
mkuu sasa huyo ambaye hata jina hulikumbukiii.....mmmh!!
 
Namtafuta mtoto wa sekioni kitojo nmemsahau jina lake. the last time tumeonana tulikuwa standard one changa primary school Tanga mwaka 1992.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Kumbe nawe umesoma Changa kwa Mwalimu Msangi, Msonde, Ndauka, Sepeku n.k???
 
ahhhahhhh nimecheka sana...ila na mimi namtafuta osami ivi aliwawa kweli au ndo fitna maana mara ya mwisho tulikuwa wote afganstani.
 
Mi namtafuta Bahati Lwitwiko wa makambako.shemeji yake alikuwa anafanyakazi tazara makambako
 
Namtafuta Benedict kikove mara ya mwisho kuonana tukiwa tunahitimu standard 7 mwaka 2001 Mtakuja P/S
 
Grolia nani?
Maana na mie naitwa Grolia na nilipotezana na mkaka mmoja hv mweupe tukiwa ndani ya basi,
namba yake ya simu ni 0784 546933.
Kama ni wewe, basi ni mimi.
I love u.

Ha ha ha haaaaaaa! Madame B nadhani wakati mwingine akili huwa zinakuhama! Khaaa!
 
Last edited by a moderator:
Namtafuta Benedict kikove mara ya mwisho kuonana tukiwa tunahitimu standard 7 mwaka 2001 Mtakuja P/S

bila kuwasahau Cecilia Meela na Devotha kiojo kama kuna anayewafahamu anijuze
 
Back
Top Bottom