Namtafuta rafiki yangu wa chuoni

Namtafuta rafiki yangu wa chuoni

Ilikua tamu wkt mlikua mnatembea kwa miguu kutoka Butimba mpk Nyegezi?Wahenga mlizoea Maisha magumu sana.
Watoto wa siku hizi mnapenda sana tu njia twa mkato mkato. Ndio maana kila Siku hamuishi kununuanunua tumitihani. Hampendi kweli kushughulisha tuubongo twenu.
Siku hizi mbinti ukimwambia songa ugali, duu!! Siku hiyo mtakula mchanyato wa unga na maji!
 
😁😁 Kutembea kutoka Butimba mpk Nyegezi Wahenga mnaona ilikua Ni kushughulisha ubongo 😁😁
 
Sisi Wahenga, darasani tulikuwa wazuri sana. Ndio maana hivi sasa nyie watoto wetu mna-enjoy matunda yetu. Baba ana Kazi nzuri, ana gari, ana nyumba nzuri, amemnunulia mama STI ya kwendea sokoni, nk. Ndio maana unaona ni kitu cha ajabu kutembea kutoka Butimba mpaka Nyegezi. Ni matunda ya baba.
Tunasubiri watoto wako.
 
Kwa sasa hakuna rafiki wa maana, wachache wamebakia. Ukita kuwa na rafiki jiandae kisaikolojia 🤣 hawakawii kuomba hela. Kuna mshkaji wangu tulipotezana kitambo sana miaka na miaka, siku nimekutana nae face to face baada ya salamu tu akanipiga bomu, nikamchana live. Waswahili bwana
 
Sisi Wahenga, darasani tulikuwa wazuri sana. Ndio maana hivi sasa nyie watoto wetu mna-enjoy matunda yetu. Baba ana Kazi nzuri, ana gari, ana nyumba nzuri, amemnunulia mama STI ya kwendea sokoni, nk. Ndio maana unaona ni kitu cha ajabu kutembea kutoka Butimba mpaka Nyegezi. Ni matunda ya baba.
Tunasubiri watoto wako.
STI Ni Aina ya Landover au Ni Ile Subaru mzee?
 
Unastahili shikamoo kubwa wengine miaka hiyo hatukujua km tunatakiwa kuja sayari ya 3
 
Back
Top Bottom