Nimeweka namba yanguKwa hio anatafutwa na Nani?maana ID za humu Ni fake.
Pamoja na kumpongeza, Kati ya hao wachache wewe haupoNakupongeza sana Idd Hassan kwa kuweka jina na namba zako za simu. Ni wachache wa aina yako.
Mpigie simu!Kwa hio anatafutwa na Nani? Maana ID za humu Ni fake.
Hujaona namba ya simu? Au unadhani nayo Ni fake?Kwa hio anatafutwa na Nani? Maana ID za humu Ni fake.
Umesahau Nsumba,Nganza na FisheriesEnzi hizo. Hapa Butimba, Kule Bugando nursing, halafu kuleee Nyegezi Social Training Institute! Mwanza ilikuwa tamu sana!
Shule nilienda kutafuta mke,ndo nikakupata wewe mama watoto wangu.Hujaona namba ya simu? Au unadhani nayo Ni fake?
Shule hizi sijui mnaenda kufanya Nini.
Namalizia kujichua,nitampigia.Mpigie simu!
Fisheries college ya hovyo Sana ile....Umesahau Nsumba,Nganza na Fisheries





Very true!!Ni Huu ndo ukweliTafuta hela achana na marafiki coz hawanaga msaada
Ilikua tamu wkt mlikua mnatembea kwa miguu kutoka Butimba mpk Nyegezi?Wahenga mlizoea Maisha magumu sana.Enzi hizo. Hapa Butimba, Kule Bugando nursing, halafu kuleee Nyegezi Social Training Institute! Mwanza ilikuwa tamu sana!
Saivi Nyegezi social training institute imepoa sanaEnzi hizo. Hapa Butimba, Kule Bugando nursing, halafu kuleee Nyegezi Social Training Institute! Mwanza ilikuwa tamu sana!