Enzi hizo bila kuvaa hivyo kule Uru mademu utawasikia kwenye redio tu.Hiyo suruali mmmh! ngoja nimuite bondia Mwakinyo huenda atakuwa na maelezo ya kutosha
Hii ilkuwa early 2002Enzi hizo bila kuvaa hivyo kule Uru mademu utawasikia kwenye redio tu.
Umenikumbusha mbali sana neno 4 angleJamaa amepiga kiatu 4 Angle.
Bila shaka hakuwa na maisha magumu miaka hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa madogo waliozikuta kadeti madukani hawawezi kuelewa hata kidogo.Umenikumbusha mbali sana neno 4 angle
Umenikumbusha mbali sana neno 4 angle
Wewe ni mkongwe mwenzangu,madogo hawawezi kukuelewa hata kidogoHawa madogo waliozikuta kadeti madukani hawawezi kuelewa hata kidogo.
Bila 4 Angle huwezi kuwa umekamilika.
Mkuu kama unamjuaa ni muhim tumpate ameacha mtoto mtaani mama ake anapata tabuMtu asiyejulikana anamtafuta mtu mwingine asiyejulikana zaidi...
Unaweza jikuta unatoa info za mtu mbaya kwa mtu mzuri au info za mtu mzuri kwa mtu mbaya...