Namtafuta mwana jf mentor popote alipo

bucho

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2010
Posts
5,175
Reaction score
3,276
Jukwaa la matani limepoa sana . Tafadhali tunakuomba urudi ofisini.
 
kweli huyu mtu haonekani kabisaaaaaaaaaa, utadhani alivyopote waberoya kwenye Siasa!!
 
Ajitokeze kama yupo huku ndani.
 
na arudi bana make kuna siku nilicheka mpaka nikajishangaaa... Eti ukivua viatu unavigeuza ilisory isiishe. chapati unapika upande mmoja. Huyu jamaa..
 
Mi alinichekesha mno . Eti kwenu wachoyo paka mkimeza mate mnajificha lol ?
 
Huyu jamaa alikuwa anatufanya tuburudike sana.
 
Kweli bandugu isije akawa ............... ebu ajitokeze mapema basi!
 
Muacheni mtoto wa watu anasoma, akija hapa anakuja kusaka mchuchu! Kolezeeni mkorogo wadada!
 
Inanitisha hajatokea hadi leo . Atakuwa salama kweli ?
 
...................Huenda kaishiwa.......................
 
Na ndugu Excellent naye siku hizi haonekani, jamani mchango wenu ni mkubwa rudini muendeleze kazi ya kuvunja mbavu.
 
Na ndugu Excellent naye siku hizi haonekani, jamani mchango wenu ni mkubwa rudini muendeleze kazi ya kuvunja mbavu.

sijui wamepotelea wapi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…