Namtafuta mwalimu Nzole aliyefundisha shule ya sekondary Kinondoni Muslim

Uungwana Vitendo

JF-Expert Member
Nov 20, 2013
1,322
507
Habari za muda huu jamani,

Namtafuta mwalimu Nzole alifundisha shule ya KINONDONI MUSLIM 1982-1986. Akahamia ALHARAMAIN 1986.Baada ya hapo sijui, alikuwa wapi mwenye kujua alipo najua kwa sasa atakuwa ni mtu mzima kama yupo hai ila hata wanae sio mbaya.

Nawaomba jamani
 
Kwa sasa nı Headmaster wa shule moja ipo Mapinga-Bagamoyo inaitwa Lord Baden Powel Memorial Highschool.Shule hiyo inamilikiwa na Kanali mstaafu Idd Omary Kıpıngu.Shule ipo jiranı na Bunju B lakn Mkoa ni Pwani.Anaitwa Nzole Kawambwa.
 
ndugu yangu nashukuru nitakwenda kumcheki na nitaleta mrejesho.
Ila Lord Badern Powel imepata mwalimu kakamilika ni mwalimu
 
Back
Top Bottom