Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,550
ushakosa sifa tayari"Awe hajawahi kuwa kwenye mahusiano yoyote yale" kwa umri uliotaja labda.
Kila la kheri mkuu
Sio hiyo tu, zote sinaushakosa sifa tayari
kweli kabsaaaSio hiyo tu, zote sina
Naamin ntampata tu JF ina kila aina ya watu."Awe hajawahi kuwa kwenye mahusiano yoyote yale" kwa umri uliotaja labda.
Kila la kheri mkuu
Mkuu watu wa hivyo mbna wapo...ushakosa sifa tayari
Mbna hyo ya kawaida tu jamanNumber 7.
Pole.Nina zote, kasoro namba 7
Au sio. Me nangojea feedbackMkuu watu wa hivyo mbna wapo...
Ntatoa feedback nikimpata.
Jiandae kumpata Jezebel aliyetaka kumchinja Eliya, maana ndio ana sifa hizo uzitakazoOyo niaje mazee?
Ni takribani wiki mbili sasa tangu, demu wangu niliyempenda aolewe. Kwa kweli, ndani ya hizi wiki mbili nimepitia wakati mgumu sana ila nashukuru angalau moyo sasa umetulia na unanambia nitafute mtu mwingine atakayeufaa.
Kawaida yangu huwa sibishani na moyo. Hivyo napenda kutangaza tenda kwa wadada wote wanaopenda kuwa na mahusiano ya ndani na Nebu mwenyewe. Moyo unanambia atanayechukua nafasi ya Hajir awe na sifa zifuatazo:
1. Awe mrefu, angalau futi 6. yaani sawa na urefu wa kitanda changu.
2. Kuhusu rangi, itapendeza zaidi akiwa mweusi. Weusi wa mbegu ya papai.
3. Asiwe mnene sana. Ila awe kiportable kama ebitoke.
4. Dini, napendelea zaidi awe mkristo.
5. Elimu: Angalau awe na masters. Kama ikitokea ana degree basi iwe ya nursing.
6. Umri, kuanzia miaka 20-26 tu.
7. Awe hajawahi kuwa kwenye mahusiano yyte Yale.
ASANTENI
Vigezo na masharti vimezingatiwa.
Pole sana mkuu....Kila rakheri mkuu, vigezo vigumu kama nini, sina hata kimoja[emoji30]
Unaniogopesha mkuuJiandae kumpata Jezebel aliyetaka kumchinja Eliya, maana ndio ana sifa hizo uzitakazo
Asante [emoji847]Mbna hyo ya kawaida tu jaman
Hahaa, ukipunguza unitag NebPole sana mkuu....
Nikikosa kabisa ntapunguza ukali wa vigezo.