Namtafuta Morega Simon Mongate

Hamna hata,nilimfuata tu kama ticha nikamweleza naumwa na sina kitu kabisa
Alikuwa na chembe chembe fulani za utu, kumbe ulimfuata kumuomba msaada, naye akakusaidia. Vizuri.
 
Huyu mbwa sitomsahau pale NDABO, ukiliona gari lake tu akilo inakaa sawa, sometimes anaacha gari lake halafu mwenyewe anaondoka, hapo kila mwanafunzi ni mwendo wa kufuata sheria tu kumbe mwenyewe hayupo.

Alikuwa anawabana sana Wanafunzi na walimu wake, Hadi walimu wakawa wanaikimbia shule maana sio kwa complications hizo

Anajagua usafi hadi kwenye nyumba za walimu na akikuta chafu anakuchana mbele ya familia yako.

Anafuatilia hadi maisha ya walimu mf, mahusiano nk
 
Mmmh ya kweli hayo? Basi huenda na maisha yake pia yalikuwa yanafuatiliwa na hao walimu.
 
huyu jamaa niliwahi kuokota simu yake ndabo pale manchester hall ...afu nkanyuti ...kidume nkaanza kutumia mimi pale sheraton[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…