Namtafuta @mentor

Namtafuta @mentor

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
16,707
Reaction score
16,424
There is un finished business somewhere

Namtafuta huyu jamaa jamani
Kama una id mpya naomba nichek
Kama ni ya zamani pia nichek dm haupo
Plz and plz
Anaewasiliana na mentor naomba anichek
Mentor
 
Au ndiyo huyu siku hizi anajiita holoholo!

Na vipi ikatokea hayupo tena kwenye huu ulimwengu wetu! Mentor, unahitajika huku tafadhali.
 
kuna kijana aliwahi leta uzi kuhusu huyu jamaa mtafute utapata mawasiliano yake.
 
Back
Top Bottom