Namtafuta Mary Hunbig....

Marry Hunbig naomba sikiliza kilio cha mtoto wa mwanamke mwenzio na uache siasa za kwenye baibo.

Arushaone,
2Timotheo 3:16-"Kila andiko,lenye pumzi ya Mungu,lafaa kwa mafundisho,na kwa kuwaonya watu makosa yao,na kwa kuwaongoza,na kwa kuwaadibisha katika haki".
Hivyo,BIBLIA SIO SIASA,NDIO MAISHA YENYEWE!!!
 
Last edited by a moderator:
oi Nimestushwa na hii thread mzee umeamua na wewe kujitos kwa mary ila sidhani kama utafanikiwa kwani waday walimuwahi mapema sana siku alipojiunga,,, ila usikate tamaa.... Ritz nimesikia keshaliwa hadi sasa zaidi ya 2m na Demu kasema hamtaki

We Duduwasha wewe,mimi nakuangalia tu!!!
 
Last edited by a moderator:

Komaa mwana na huyu binti wa kilokole,huenda zali likakudondokea!!
 

Kaazi kweli kweli!!
stevoh,umeingia choo cha kike du!!
 
Last edited by a moderator:

itakua vyema kama ukianza kunifikiria kwanzia sasa kwani chelewa chelewa ntakukuta mwana si wangu tena.
 
itakua vyema kama ukianza kunifikiria kwanzia sasa kwani chelewa chelewa ntakukuta mwana si wangu tena.

Mhubiri 3:1-"Kwa kila jambo kuna majira yake,
Na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu."

Kwa hiyo usiwaze stevoh,wakati wa mie kupenda yawezekana wewe ndio ukatumbukia moyoni mwangu!!!
 
Last edited by a moderator:
hivi kumbe kuna uwezekano wa mtu kumdondokea mtu mwingine
 
watu8 Proverb 14:12 there is a way that seemeth right unto a man but the end there is death(kjv)
 
Last edited by a moderator:

mkuu stevohmimi si mwenyeji sana hapa jf ila kwa nnavyoona sumu zako ni grade B ndo mana mtoto anakusumbua. USHAURI:nakushauri rudi darasan kachukue sumu za grade A au mfate jamaa mmoja hivi anaitwa chimbuvu huyu jamaa sumu zake kwa madame bnimezikubali huenda akakupa maujanja na wewe ukang'oa huyo mtoto..
 

Mie yangu macho
 
Mhubiri 3:1-"Kwa kila jambo kuna majira yake,
Na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu."

Kwa hiyo usiwaze stevoh,wakati wa mie kupenda yawezekana wewe ndio ukatumbukia moyoni mwangu!!!

kinachozuia ni nin?
 
Last edited by a moderator:

hilo analitambua saaana ila tu anajidai hanioni na wakati mimi niko visible.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…