Niambie mkuu mzima wewe?? Alafu mbona umeandika maandishi yasiyoleta maana? Au ni fumbo?
Na kubeba madesa ya kiimani maana Marry Hunbig anatumia mfuko wa rambo.Umeokoka maana haka kabinti kwa sunday school,halafu ijumaa ujiandae kuwa mnaenda kwenye mkesha,upo tayari?
oi Nimestushwa na hii thread mzee umeamua na wewe kujitos kwa mary ila sidhani kama utafanikiwa kwani waday walimuwahi mapema sana siku alipojiunga,,, ila usikate tamaa.... Ritz nimesikia keshaliwa hadi sasa zaidi ya 2m na Demu kasema hamtaki
mke wa mtu tayari. Usiguse hapo.
Na kubeba madesa ya kiimani maana Marry Hunbig anatumia mfuko wa rambo.
Salamu zenu wakuu,
husika na kichwa cha Thread hapo juu,
Huyu member bana amekuja siku sio nyingi ila ukweli ni kwamba kila nilipokua napita navutika kwake.
Duuh for the first time nimedondokea kwenye dimbwi la kwake. Nipo hoooii sijiwezi mwenzie.
Pliz mama wewe nipatie nafasi kwenye mtima wako. Madame B, Mr. Rocky, kaka ErickB52, embu nitafutieni huyu mtu. Mkimwona Mwambieni Nimemdondokea.
Nawasilisha.