Tiba
JF-Expert Member
- Jul 15, 2008
- 4,607
- 3,188
Ndugu zangu wana JF,
Namtafuta huyu Bwana zamani alikuwa Jeshini kwa maana JWTZ. Kwa sasa sijui yuko wapi lakini nina habari zake muhimu ambazo ningependa nimfikishie. Kwa anayemfahamu na kujua alipo, na labda hata kunisaidia contacts zake nitashukuru.
Natanguliza shukrani.