Namtafuta huyu kaka

Mkuu nilichouliza ni kuweka picha ya mtu mwingine kwenye mitandao ya kijamii bila ya ridhaa yake ni sawa...? na sio picha yako ..
ya kwako ni yako unaweka kadiri utakavyo mradi hutatizi hisia za wengine ....kama ambavyo mleta mada alivyofanya , kwa vile tunaficha majina yetu Halisi humu kuna uwezekano wa kutumia fursa hiyo kukashifiana na kuaibishana kwa kuwekeana picha hadharani kwa malengo yenye kuumiza hisia za wengine.. hata hivyo inaonekana mods wameliona hilo na kuinyofoa picha husika kwa sasa siioni ilikuwa inakera sana kuona hali hiyo, niikitizama mada nzima upande wa pili wa shilingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…