Namtafuta huyu kaka

Hahahaha,
Seriously!!!
 
Katika vyote nimekufurahia wewe tu. Dah! Hayo macho tu baaaasi. Frank, frankly speaking atakuja fasta akijua hayo macho yanamhitaji.
 
"Rose tabia gani yavkuweka picha yangu humu!!
Nilikuambia nimeoa, na mke wangu yupo humu......dah!!"


Utampata tu........usihofu.
 
ni tabia mbaya kuuza sura za watu na wewe kwanza hufai kuitwa binadamu je huko FB hujampata? marafiki zake je? au unatembeza uso? km unauza sura hebu jaribu kitoa sura za watu ubaki wewe tu. na sijui ndo mmepigia picha gari la lecture wenu tujue usafiri wenu. UMENIKERAAAAAAAA hata hao watu naahirisha kukujuza walipo.
 
Mh! mbona huyu jamaa haitwi Frank!


eniwei..am out!!!
 
Niko hapa umenipata njoo tumalizane Pm, japo sinapenda tabia ya kuwekana picha huku
 
Mimi namtafuta Dada mmoja aliwahi kusoma Euckenforde High School Tanga anaitwa Glory Sakaya, kwao ilikua Morogoro. Kama yupo au mnamfahamu nisalimieni sana, nimemtafuta hadi basi
 
Anza Clinic Mara moja na Jiepushe na Pepo baya la kuichoropoa!

Inaonekana Mlikutana kwny Send off jamaa akahakiki 'vyeti' juu kwa juu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Duuh! I'm serious you know
 
Kwahiyo wewe ni huyu mdada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…