ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,663
Kuna Dada mmoja hivi Simfahamu jina wala sura yake wala kazi yake ila namsikia tuu kupitia sauti yake Kiukweli nimejikuta nampenda tuuu kumsikiliza yaani to me anaweza ongea masaa 24 nisichoke kumsikiliza
Najua ni cerebrity na kuna watu watakuwa wanamfahamu humu...Niambieni hata kifupi huyu mtu ni nani? Hata picha yake tuu....
Huwa namsikia clouds FM na Clouds TV kwenye kipindi kimoja tuuuu nacho ni kipindi cha michezo (SPORTS EXTRA) Kwenye segment ya NGUMU Kumezaaa na KWENYE clouds TV NI ile Segment ya SPORTS ROUND UP.....yaani ile misemo yake na mpangilio wa maneno ni inanifanya niwe na shauku ya kumjua na Sauti yake
Mwenye kumjua tafadhari