Ndo mm hapaHabari zenu
Nahitaji msaada wenu km kuna mtu anamfahamu huyo mtu amesoma Azania O level, A level Pugu (PCM) then akaenda UDSM kusoma Engineering (sijui aina gani ya injinia)alimaliza 2009 akaajiriwa Tanga kama sikosei. Alikua anakaa mbagala mwanamtoti Mwenye kumfahamu anisadie tafadhali au yeyote Mwenye taarifa zake anisaidie tafadhali.
NB Mimi siko Facebook maana mtasema niende Facebook.
Ahsanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
100%
Mbona hutaki Urafiki na mimi!??
Ukikubali urafiki nakusaidia Kumtafuta huyo rafiki yako[emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
KaaahHuyu jamaa atakuwa muhujumu uchumi pia, ndio maana mnagwaya kusema chochote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulinipaga Mualiko hewa wa Idd nadhani mwaka ushakata sasa..
Aaaah[emoji3][emoji3][emoji3]karibu kwetuUlinipaga Mualiko hewa wa Idd nadhani mwaka ushakata sasa..
Hebu Fanya Kuutimiza Sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisoma post yangu nimeandika kuwa nitamshawishi ajiunge kama hajajiunga jf ili wachekiane jf.
Hali ya nchi ilivyo usithubutu kuuza taarifa za mtu.
Nina rafiki yangu wa maana anateseka muda huu kwa ajili ya watu kuuza taarifa zake toka jf.
Sent using Jamii Forums mobile app