Namtafuta Hussein Abbas Ibrahim

naishi pia mbagala mwanamtoti nitajaribu kuuliza wana maskani!
 
Oh huyu jamaa nafahamu alipokuwa anaishi pale mwanamtoti, jamaa mtaratibu alipenda sana kujisomea alikuwa nje ya nchi na kama sikosei ni mmakonde nitafuatilia then nitakupa mrejesho!
 
Oh huyu jamaa nafahamu alipokuwa anaishi pale mwanamtoti, jamaa mtaratibu alipenda sana kujisomea alikuwa nje ya nchi na kama sikosei ni mmakonde nitafuatilia then nitakupa mrejesho!
Sahihi kabisaa Ahsante sana we unamjua kweli Ni mtaratibu na Ni mmakonde pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…