Habari zenu
Nahitaji msaada wenu km kuna mtu anamfahamu huyo mtu amesoma Azania O level, A level Pugu (PCM) then akaenda UDSM kusoma Engineering (sijui aina gani ya injinia)alimaliza 2009 akaajiriwa Tanga kama sikosei. Alikua anakaa mbagala mwanamtoti Mwenye kumfahamu anisadie tafadhali au yeyote Mwenye taarifa zake anisaidie tafadhali.
NB Mimi siko Facebook maana mtasema niende Facebook.
Ahsanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
SijapataKama alisona Chuo kikuu/Sekondari mtafute google utapata details zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Naogopa kuuza taarifa za mtu, labda nimwambie ajiunge jf akutafte.
Tulikutana Ushelisheli akiwakilisha kampuni yake kwenye mkutano flani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo umwambie kuna ex wake amemkumbuka akuruhusu umpe mawasiliano usimbanie mwenzioNaogopa kuuza taarifa za mtu, labda nimwambie ajiunge jf akutafte.
Tulikutana Ushelisheli akiwakilisha kampuni yake kwenye mkutano flani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni kweli msaidie mwenzako au wasiliana na mwenyeji wake kabla hujamuunganisha akikuruhusu muunganishe huo ndio utakuwa uungwana
Ndo umwambie kuna ex wake amemkumbuka akuruhusu umpe mawasiliano usimbanie mwenzio
Rafiki yako anatesekaje bro?Ukisoma post yangu nimeanfika kuwa nitamshawishi ajiunge kama hajajiunga jf ili wachekiane jf.
Hali ya nchi ilivyo usithubutu kuuza taarifa za mtu.
Nina rafiki yangu wa maana anateseka muda huu kwa ajili ya watu kuuza taarifa zake toka jf.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli bwana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Una shida gani na mume wangu madam?[emoji85][emoji85][emoji85]
Nakuelewa mnoo naomba nije PM km hutajali na kama Ni kweliNaogopa kuuza taarifa za mtu, labda nimwambie ajiunge jf akutafte.
Tulikutana Ushelisheli akiwakilisha kampuni yake kwenye mkutano flani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naogopa kuuza taarifa za mtu, labda nimwambie ajiunge jf akutafte.
Tulikutana Ushelisheli akiwakilisha kampuni yake kwenye mkutano flani.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]daaahh!!!sawa bwanaNdo umwambie kuna ex wake amemkumbuka akuruhusu umpe mawasiliano usimbanie mwenzio
Rafiki yako anatesekaje bro?