Namtafuta Fatma Mohammed

Namtafuta Fatma Mohammed

Bhagavan

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2017
Posts
2,005
Reaction score
2,893
Natumai muwazima wa afya wote mnaotumia JF.

Namtafuta rafiki yangu huyu wa muda mrefu sana, ni kitambo sana sijaonana nae yapata miaka 5 sasa na nilipojaribu kwenda alipokuwa anaishi niliambiwa wamehama. Anaitwa FATMA MOHAMMED ni binti mmoja wa kutokea visiwani zanziber ila alikuwa akiishi mwananyamala kwa mama zakaria. Alimaliza IFM mwaka 2015 alikuwa akisomea Barchelor of Accounting. Kwa yoyote aliemaliza IFM mwaka 2015 katika fuculty hiyo kama ana taarifa zake naomba tuwasiliane.

Nawatakia kila la kheri wana JF

.
 
secondary alisoma wapi; kuna mmoja yuko huku niambie secondary aoisoma wap
 
secondary alisoma wapi; kuna mmoja yuko huku niambie secondary aoisoma wap
Sina hakika sana lakini ni kati ya shule hizi mbili jangwani ama kisutu girls yeah. Shule hizo mbili moja wapo ndio alisomea

.
 
Seriousely??? Dah aisee namtafuta sana wallah. Huna hata mtu wake wa karibu ambae unamfahamu??

.
Kuna demu rafiki yake nae anaitwa Fatuma , wa zenji nae huyo nilimuona mara moja tu posta i think mwaka jana!

Tafuta group letu la BAF 2015...liko FB waliniunga hicho kipindi sasa mimi siku hizi situmii fb...



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna demu rafiki yake nae anaitwa Fatuma , wa zenji nae huyo nilimuona mara moja tu posta i think mwaka jana!

Tafuta group lao la BAF 2015...liko FB waliniunga hicho kipindi sasa mimi siku hizi situmii fb...



Sent using Jamii Forums mobile app
Owky witnessj wacha nijaribu kucheki huko fb. Thanx mamitto

.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom