Namtafuta Dk.Slaa

Namtafuta Dk.Slaa

Status
Not open for further replies.

Mamboki

Member
Joined
May 21, 2013
Posts
25
Reaction score
14
Hali zenu ni matumaini yangu mu wazima nina shida na Dk.slaa ningeomba yeyote mwenye mawasiliano na Dk.slaa amjulishe. Mawasiliano yangu ni 0689445440
 
Dr. Slaa alishapewa tahadhari ya kukutana na watu wasioeleweka, hasa wenye majina kama lako. Samahani kwa kusema ukweli.
 
TISS wanaajiri mazombi,sasa wewe ndo ulivyofundishwa hivyo jinsi ya kuua watu?akina rama ighondu mpo wengi!!
 
Jibu kwanza haya:
Jitambulize we nani,
toka wapi?
Kwa shida gan?
Ofice yake huijui?
Google hauijui?
Hauna mahaba na kucha za watu?
Huna interest na meno ya watu?
Mara ya mwisho ni lini umewasiliana na Ighondu A.K.A Mkenya?
 
Hali zenu ni matumaini yangu mu wazima nina shida na Dk.slaa ningeomba yeyote mwenye mawasiliano na Dk.slaa amjulishe. Mawasiliano yangu ni 0689445440
huyo mtu aliyekupa kazi ya kurecodi video viongozi wa CDM ili mkachomeke maneno ku-justify ugaidi mwambie kazi ni ngumu na mrudishie hela yake.
 
Hali zenu ni matumaini yangu mu wazima nina shida na Dk.slaa ningeomba yeyote mwenye mawasiliano na Dk.slaa amjulishe. Mawasiliano yangu ni 0689445440

Nihakikishie kwamba wewe siyo Ramadhani Ighondu kwanza
 
Hali zenu ni matumaini yangu mu wazima nina shida na Dk.slaa ningeomba yeyote mwenye mawasiliano na Dk.slaa amjulishe. Mawasiliano yangu ni 0689445440

Rais wetu hatafutwi kwenye mitandao mkuu kama unashida naye mmp, yeye ni member humu JF na ujumbe utafika. Unafikiri Dr. Slaa ni sawa na Kikwete kila msiba na sherehe aende
 
Hali zenu ni matumaini yangu mu wazima nina shida na Dk.slaa ningeomba yeyote mwenye mawasiliano na Dk.slaa amjulishe. Mawasiliano yangu ni 0689445440

Anashuguli nyingi sana za kitaifa. Sijui kama ataweza kukuona.
 
Hali zenu ni matumaini yangu mu wazima nina shida na Dk.slaa ningeomba yeyote mwenye mawasiliano na Dk.slaa amjulishe. Mawasiliano yangu ni 0689445440

Angalia sana kijana, post kama hizi zinaweza kuwafanya watu wengine kutake advantage, wanaweza kumdhuru DR. kisha wakaja kusema kuna kijana alikua anataka contacts zake JF na ukawa umeingia matatizoni. personal issuez tuwe tunaziweka pembeni!
 
Rais wa watanzania hawezi kukutafuta wewe ni mtu mdogo sana,anyway namba yake ni 0784666995
 
Angalia sana kijana, post kama hizi zinaweza kuwafanya watu wengine kutake advantage, wanaweza kumdhuru DR. kisha wakaja kusema kuna kijana alikua anataka contacts zake JF na ukawa umeingia matatizoni. personal issuez tuwe tunaziweka pembeni!

ushauri mzuri umempa,jitambue wewe kizazi cha mlugo na kawambwa
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom