Namtafuta david kupaza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namtafuta david kupaza

Discussion in 'Matangazo madogo' started by amimo15, Jan 11, 2011.

 1. a

  amimo15 Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF habari? Naombeni wajemeni mnisaidie nimpate rafiki yangu Bwana David Kupaza. Nilisoma nae shule ya sekondari Usagara Tanga kuanzia mwaka 1995-1998. Baadae alijiunga high level na shule moja ya Morogoro siikumbuki vizuri lakini itakuwa ni hizi za seminari na pia alisoma chuo cha uhasibu dar kuanzia mwaka 2003-2006. Kwa sasa sijui alipo na pia sijui nitampata vipi; Tafadhali wandugu kama kuna mwenye taarifa nae anijulishe kwa email yangu amimo15@hotmail.com au namba yangu ya simu 0715603603. Naombeni msaada wenu.
   
Loading...