Kiungopunda JF-Expert Member Joined Oct 24, 2023 Posts 1,413 Reaction score 3,311 Jun 16, 2024 #1 Wakuu, namtafuta Babu yangu. Yoyote atakayemuona atoe taarifa kituo cha Polisi cha karibu. Zawadi nono itatolewa kwa atakayefanikisha kupatikana kwa Babu yangu.
Wakuu, namtafuta Babu yangu. Yoyote atakayemuona atoe taarifa kituo cha Polisi cha karibu. Zawadi nono itatolewa kwa atakayefanikisha kupatikana kwa Babu yangu.
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,227 Reaction score 89,110 Jun 16, 2024 #2 Huwezi mpata huyu
Kiungopunda JF-Expert Member Joined Oct 24, 2023 Posts 1,413 Reaction score 3,311 Jun 16, 2024 Thread starter #3 Mad Max said: Huwezi mpata huyu Click to expand... Kwanini unanikatisha tamaa. Kama umemuona mahali, toa taarifa mkuu kituo cha polisi cha karibu.
Mad Max said: Huwezi mpata huyu Click to expand... Kwanini unanikatisha tamaa. Kama umemuona mahali, toa taarifa mkuu kituo cha polisi cha karibu.
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 12,552 Reaction score 35,771 Jun 16, 2024 #5 Nenda kitambaa cheupe sinza
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,456 Reaction score 185,059 Jun 16, 2024 #6 Kuna madada poa na wateja wao watano wamekamatwa wapo polisi anzia huko... Cc: Mahondaw
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,227 Reaction score 89,110 Jun 16, 2024 #8 Kiungopunda said: Kwanini unanikatisha tamaa. Kama umemuona mahali, toa taarifa mkuu kituo cha polisi cha karibu. Click to expand... Tangazeni dau
Kiungopunda said: Kwanini unanikatisha tamaa. Kama umemuona mahali, toa taarifa mkuu kituo cha polisi cha karibu. Click to expand... Tangazeni dau
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,227 Reaction score 89,110 Jun 16, 2024 #9 Carasco Putin said: Nenda kitambaa cheupe sinza Click to expand... Wana CCTV pale. Aanzie hapo.
Kiungopunda JF-Expert Member Joined Oct 24, 2023 Posts 1,413 Reaction score 3,311 Jun 16, 2024 Thread starter #10 Mbaga Jr said: 🗑️ Click to expand... 🚮🚮 Mbaga Jr said: 🚮🚮🚮 Click to expand...
Kiungopunda JF-Expert Member Joined Oct 24, 2023 Posts 1,413 Reaction score 3,311 Jun 16, 2024 Thread starter #11 Carasco Putin said: Nenda kitambaa cheupe sinza Click to expand... Au aliondoka kwenda kwa Ubuntu Botho
Carasco Putin said: Nenda kitambaa cheupe sinza Click to expand... Au aliondoka kwenda kwa Ubuntu Botho
Natafuta Ajira JF-Expert Member Joined Mar 25, 2020 Posts 12,167 Reaction score 33,649 Jun 16, 2024 #12 Smart911 said: Kuna madada poa na wateja wao watano wamekamatwa wapo polisi anzia huko... Cc: Mahondaw Click to expand... 😀😀😀
Smart911 said: Kuna madada poa na wateja wao watano wamekamatwa wapo polisi anzia huko... Cc: Mahondaw Click to expand... 😀😀😀
Mmanu JF-Expert Member Joined Feb 11, 2015 Posts 1,977 Reaction score 1,219 Jun 16, 2024 #13 Kiungopunda said: Wakuu, namtafuta Babu yangu. Yoyote atakayemuona atoe taarifa kituo cha Polisi cha karibu. Zawadi nono itatolewa kwa atakayefanikisha kupatikana kwa Babu yangu. View attachment 3018759 Click to expand... Mbona umeshamuona huyo si ndiyo maana hata picha umempiga hapo wakati anakula bata😃😃
Kiungopunda said: Wakuu, namtafuta Babu yangu. Yoyote atakayemuona atoe taarifa kituo cha Polisi cha karibu. Zawadi nono itatolewa kwa atakayefanikisha kupatikana kwa Babu yangu. View attachment 3018759 Click to expand... Mbona umeshamuona huyo si ndiyo maana hata picha umempiga hapo wakati anakula bata😃😃
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,369 Reaction score 27,785 Jun 16, 2024 #14 Muacheni babu afurahie pesa zake za Shamba . Akimaliza atarudi mwenyewe. Tafuteni za kwenu na nyie
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,835 Reaction score 14,727 Jun 16, 2024 #15 Sidhani kama bado kibunda anacho.
Hope urassa JF-Expert Member Joined Aug 22, 2017 Posts 4,586 Reaction score 11,364 Jun 16, 2024 #16 Hahahaha kazi ipo
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,762 Reaction score 55,467 Jun 16, 2024 #17 Babu kakutana na watoto wa mjini. Mtampata akiwa kabaki na laki mbili tu. Natania mkuu. Kila la kheri
Babu kakutana na watoto wa mjini. Mtampata akiwa kabaki na laki mbili tu. Natania mkuu. Kila la kheri
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,090 Reaction score 165,243 Jun 16, 2024 #18 Smart911 said: Kuna madada poa na wateja wao watano wamekamatwa wapo polisi anzia huko... Cc: Mahondaw Click to expand... Natumai amepata mwongozo.....
Smart911 said: Kuna madada poa na wateja wao watano wamekamatwa wapo polisi anzia huko... Cc: Mahondaw Click to expand... Natumai amepata mwongozo.....
P permanides JF-Expert Member Joined May 18, 2013 Posts 12,333 Reaction score 15,043 Jun 16, 2024 #19 Kiungopunda said: Wakuu, namtafuta Babu yangu. Yoyote atakayemuona atoe taarifa kituo cha Polisi cha karibu. Zawadi nono itatolewa kwa atakayefanikisha kupatikana kwa Babu yangu. View attachment 3018759 Click to expand... Tulia, zikiisha atarudi
Kiungopunda said: Wakuu, namtafuta Babu yangu. Yoyote atakayemuona atoe taarifa kituo cha Polisi cha karibu. Zawadi nono itatolewa kwa atakayefanikisha kupatikana kwa Babu yangu. View attachment 3018759 Click to expand... Tulia, zikiisha atarudi
James Comey JF-Expert Member Joined May 14, 2017 Posts 9,192 Reaction score 15,539 Jun 17, 2024 #20 Kiungopunda said: Wakuu, namtafuta Babu yangu. Yoyote atakayemuona atoe taarifa kituo cha Polisi cha karibu. Zawadi nono itatolewa kwa atakayefanikisha kupatikana kwa Babu yangu. View attachment 3018759 Click to expand... Hawa ndo wale wazee wanao choma moto nyumba mkose urithi hahaaaa
Kiungopunda said: Wakuu, namtafuta Babu yangu. Yoyote atakayemuona atoe taarifa kituo cha Polisi cha karibu. Zawadi nono itatolewa kwa atakayefanikisha kupatikana kwa Babu yangu. View attachment 3018759 Click to expand... Hawa ndo wale wazee wanao choma moto nyumba mkose urithi hahaaaa