Habari wana jamvini !!
Mim ni kijana wa miaka kadhaa sahiv. Lengo langu kuu mim kuingia humu ni kumtafuta baba yang na ukoo wake namfahamu kwa jina tu la ALEXANDER SESELELA.. Lakin maisha yang yote sikuwahi kumuona na mtu ambaye angeweza kunisaidia mimi kumfahamu ni mama yangu ambaye ni marehemu tokea nipo mdogo.. kwa yeyote atakaye kuwa anamfahamu au anaelewa kuhusu huo ukoo naomba ani PM..
Natanguliza shukrani
Maelezo Zaidi
Mama yangu alikuwa n askari magereza..tulikuwa tunaishi mimi na yeye Tabora kabla ya mwaka 2001 kuamia Mbeya na 2002 yey kufariki.. Sijawahi kusikia chochote kuhusu Baba wala kumuona
Mama alikuwa anaitwa Marietha Zacharia na alikuwa ni Mfipa.. kuhusu upande wa Baba sifaham chochote