Loeli
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 997
- 763
- Thread starter
- #21
Hata kwa PM wanaweza kukujuza
Kweli mkuu, mywenye taarifa zake anifikie PM pia maana kule ni privacy zaidi. Cha msingi hata kama mtu ana namba yake ya simu sitapenda aiweke hapa bali kwa PM. Pia kwa usalama zaidi hata wakiniambia ofisi anayofanyia kazi nitamtafuta maana number za watu ni privacy so si vizuri kuiweka hadharani.