Namshukuru shetani

sawa na visa vya bahati buku dunia haina huruma. mme kafumaniwa na kupigwa, yeye kutoa unyumba kwa daktari ili mme mgoni atibiwe! au ndio vile alivoimba jay z"if jesus cant save you ,begin where the church ends"
 
Nilikuwa nasita kuisoma; kumbe ni ushuhuda wa kishetani kweli....
Watumishi wa mungu feki wengi huwa wanatumbukia kwenye vitendo vya kishetani kama hivi
 
kwa kumshukuru shetani, umefanya jambo baya sana, batilisha maneno yako hayo, rudi kwa Mungu. usione kama sifa, hiyo nyumba na magari ni vitu vya kupita, sisi wengine tulishakuwa navyo hadi tumechoka, ni vitu vidogo sana, usione kama umefika ukamtukuza shetani kuliko Mungu. hata kama sisi wanadamu tu wadhaifu na tunatenda dhambi mara nyingi, hatutakiwi kumshukuru au kumwabudu shetani kwasababu Mungu anatusitiri kwa rehema na neema yake na bado anatupenda sana. I hope you will understand this!
 

Uzuri nae anasoma ushauri wenu,,hope atachagua njia ifaayo
Thanks Hute
 
Endelea kumshukuru Shetani maana inaonekana wewe umejinasibu kuwa amekusaidia. Sijawahi kusikia Biblia au Quran zinasema kuna msaada kwa shetani zaidi ya laaana, kuwa makini kwa yale unayozungumza au kuandika manake yanaweza kuja kuwa kitanzi kwako.
 
Endelea kumshukuru Shetani maana inaonekana wewe umejinasibu kuwa amekusaidia. Sijawahi kusikia Biblia au Quran zinasema kuna msaada kwa shetani zaidi ya laaana, kuwa makini kwa yale unayozungumza au kuandika manake yanaweza kuja kuwa kitanzi kwako.

Wenye mioyo safi Mola anawafahamu
 
sio kosa lako by the way ulikua looser tayari...wewe unafikiri kujengewa nyumba na kua na gari ndo mambo fresh....
 
Tetra umeleta tread nzuri tu, wapo wengi tu wana mambo ambayo leo tunawasifu kwa mafankio lakini wameyapata kwa Shetani tunawasifu na kuwainamia, na si hivyo tu wanatoa sadaka na wengine wanapata vitu vyao kwa devel na wao ni wachungaji ni maajenti wa shetan na wana waumini lukuki cha msingi hapa tuwe makini na imani zetu, imazi za kudakia hewani tuwe makini nazo. Taarifa ya habari ya leo inataarifu kuwa wanaoongoza kwa utajiri Nigeria ni wachungaji type ya mzee wa upako( mzee wa giza)wanaowadang'anya watu pandeni mbegu zitaota huku wao wakineemeka mashetani hao ati tuwe makini. Big up umefanya vizuri kuleta hiyo.
 
Baada ya hapo hukutubu na kumrudia mungu katika kazi ya uchungaji?
kweli shetani ana njia nyingi za kubomoa kanisa lake..
 

Thanks a million Wimbo..
 
Baada ya hapo hukutubu na kumrudia mungu katika kazi ya uchungaji?
kweli shetani ana njia nyingi za kubomoa kanisa lake..

Umeona Mama Mchungaji Tutor B???? tuna wakati mgumu wa kupigana na mwovu shetani.
 
Huyu jamaa atakuwa ana matatizo ya akili maneno gani hayo ubakaji afanye alafu anamshukuru shetani , unapaswa uwende kwa doctor kwa uchunguzi zaidi shame on u na mashetani yako alaaa!
 
:lalala: La--La--La! sasa huyo mchungaji mkewe wa halali alimwacha mataa! uleyeleta ushuhuda huu mwambie mchungaji atubu, aachane ni huyo Jesca then amrudie mkewe wa kwanza! Mungu ni mwingi wa rehema...atamsamehe!
 

Endelea kumwomba shetani ili ubarikiwe zaidi. Amina
 
Mnafiki mkubwa,huwezi kuthaminisha maisha ya utakatifu na kanyumba ulikopewa na huyo unayemshukuru.
GOD forbid haya mambo yasimtokee mtumishi wako

 
Mnafiki mkubwa,huwezi kuthaminisha maisha ya utakatifu na kanyumba ulikopewa na huyo unayemshukuru.
GOD

 

mmmh...mbona kilakukicha mambo ya ajabu ajabu!!inaweyekana dunia qushney eh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…