weird...ina maana Mengi kila siku alikuwa na kipindi maalum,Bize kuangalia second chance na kujisifu JF. Waafrika tuan matatizo makubwa,bora ungesema unasoma kwa utulivu kuliko hicho ulichosema unakiangalia.Lini tutastuka na kuachana na kuangalia hizi movies ambazo hazileti changamoto zozote katika yale muhimu yanayotukabili kama taifa au jamii ya watanzania...SOMA ndugu yangu soma chochote punguza utumwa kwa kuangalia hayo ma series, watu wanamake money kwa huo ujinga wenu