GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,216
Hakika Sina Cha Kumlipa Mwenyezi Mungu Zaidi Ya Kumwambia AKHSANTE Kwa Kunipa Miaka Yangu Hii Niliyonayo Huku Nikiwa Nipo Salama Kabisa Na Sina Tatizo Lolote Lile.
Pia Napenda Kuchukuwa Nafasi Hii Kuwafahamisheni Members Kuwa Leo Tarehe 27, March Ni Birthday Yangu Ila Nisingependa Ipite Hivi Hivi Kama Nisingesema Kuwa Katika Moja Ya Furaha Zangu Na Maarifa Yangu Nimetoa Humu Kwenu JF Members Na Kusema Ukweli Huwa Nawafurahia Mno.
Napenda Pia Kuchukua Fursa Hii Murua Kuomba Radhi Kwa Wale Wote Ambao Kwa Namna Moja au Nyingine Niliwakwaza Na Sasa Naomba Tuanze Upya.
Nawapendeni Nyote Na Mwenyezi Mungu Awabariki Nanyi Pia Na Waanzilishi Wa Mtandao Huu Mzuri Na Muhimu Wa Jamii Forums Bila Kuwasahau Na Moderators Wote Kwa Kazi Yao Nzito Ya Kuhakikisha Mambo Yanaenda Vizuri Huku Wakitukong'oli BAN Za Kufa Mtu.
Akhsante Mwenyezi Mungu, Wazazi, Walimu / Wahadhiri Marafiki Zangu Wote Waliokuwa Na Msaada Mkubwa Mno Kwangu Hakika Bila Jitihada Zenu Leo Nisingekuwa GENTAMYCINE Huyu. Salute Kwenu Amen / Inshaallah.