X Ximena JF-Expert Member Joined May 17, 2014 Posts 641 Reaction score 353 Jul 22, 2015 #1 Habari wanajamii Hatimaye Mungu amenijalia nimepata kazi katika moja ya taasisi za serikali. Acha nikafanye bidii kazini mtaani pagumu aisee.
Habari wanajamii Hatimaye Mungu amenijalia nimepata kazi katika moja ya taasisi za serikali. Acha nikafanye bidii kazini mtaani pagumu aisee.
O OgwaluMapesa JF-Expert Member Joined May 24, 2008 Posts 10,942 Reaction score 437 Jul 22, 2015 #2 Hongera sana.... Usisahau kutoa zaka na sadaka pamoja na sadaka ya shukrani...
bushland JF-Expert Member Joined Mar 6, 2015 Posts 7,015 Reaction score 4,997 Jul 22, 2015 #3 Hongera ndugu Mungu wetu hajawahi kushindwa lolote
Jurrasic Park JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 3,831 Reaction score 6,878 Jul 22, 2015 #4 hongera ukumbuke akiba totoz sio sana
X Ximena JF-Expert Member Joined May 17, 2014 Posts 641 Reaction score 353 Jul 22, 2015 Thread starter #5 Ahsanteni sitasahau kutoa sadaka
X Ximena JF-Expert Member Joined May 17, 2014 Posts 641 Reaction score 353 Jul 22, 2015 Thread starter #6 Gobe said: hongera ukumbuke akiba totoz sio sana Click to expand... Mkuu mimi ni mwanamke, kwa hyo kwny totoz hapo simo
Gobe said: hongera ukumbuke akiba totoz sio sana Click to expand... Mkuu mimi ni mwanamke, kwa hyo kwny totoz hapo simo
Jurrasic Park JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 3,831 Reaction score 6,878 Jul 22, 2015 #7 Ximena said: Mkuu mimi ni mwanamke, kwa hyo kwny totoz hapo simo Click to expand... samahani sana best sikumaanisha ivyo nisamehe kukushushia heshima siku njema asantee
Ximena said: Mkuu mimi ni mwanamke, kwa hyo kwny totoz hapo simo Click to expand... samahani sana best sikumaanisha ivyo nisamehe kukushushia heshima siku njema asantee
X Ximena JF-Expert Member Joined May 17, 2014 Posts 641 Reaction score 353 Jul 22, 2015 Thread starter #8 Gobe said: samahani sana best sikumaanisha ivyo nisamehe kukushushia heshima siku njema asantee Click to expand... Usijali, la muhimu umenikumbusha kuweka akiba
Gobe said: samahani sana best sikumaanisha ivyo nisamehe kukushushia heshima siku njema asantee Click to expand... Usijali, la muhimu umenikumbusha kuweka akiba
K king kurumiza New Member Joined Aug 10, 2012 Posts 1 Reaction score 0 Jul 23, 2015 #10 Hongera sana mkuu!....piga kazi.
saadmad JF-Expert Member Joined Aug 12, 2011 Posts 729 Reaction score 653 Jul 23, 2015 #11 Hongera mdau kila la kheri kazini, ila usisahau joto la wahanga wa ajira!! pay respect n consider them wakitaka ushauri maana umepata uzoefu na msoto wake unaujua. One love Home BoyWhaaat???.........OOoh!! that's my nick name SAADMAD:doh:
Hongera mdau kila la kheri kazini, ila usisahau joto la wahanga wa ajira!! pay respect n consider them wakitaka ushauri maana umepata uzoefu na msoto wake unaujua. One love Home BoyWhaaat???.........OOoh!! that's my nick name SAADMAD:doh: