Firstyeee sasa si kiswahili ndo kiarabu chenyewe?!hongera ila punguza kiarabu kingi.. you r just Tanzanian bhnana.. misifa yote ya kiarabu kiarabu ya kazi gani?
ALHAMDULILAH RABIL-ALAMIN. Mwenyez Mungu kaniruzuk mtoto wa kiume mchana huu MASHAALLAH, mtoto yupo na afya njema na mama yake. Kwa kweli nina furaha isiyokua na mfano mchana huu AMA CNA CHA KUMPA ALLA ISPOKUA NI KUMSHUKURU JAPO KWA UCHACHE WA SHUQRAN kwa kusema ALHAMDULILAH ALA QULLI HALI.
Angejaza umombo ungemuona wa maana lakini kwa kuwa Kiarabu mekupiga chenga unalaumu. Acha hizo.hongera ila punguza kiarabu kingi.. you r just Tanzanian bhnana.. misifa yote ya kiarabu kiarabu ya kazi gani?
Angejaza umombo ungemuona wa maana lakini kwa kuwa Kiarabu mekupiga chenga unalaumu. Acha hizo.
Juzi
moja tulikwaruzana kidogo na my waif wangu sasa mi nipo seblen nachek
mdahalo wa akina warioba yeye waif akaingia chumban akashika madonge eti
anataka kuyameza huku ni mjamzito duh, kidume nikaingia chumban kujitayarisha ili
nikaswali magharib ndo nakumban na hiyo hali nikaenda jikon nikamletea
jagi la maji na glas alfu mi uyo nikaelekea mskiti, nilipofika nje
nikamuandikia meseji "chagua mava kabisa kati ya kisutu na mwinyi mkuu"
duh na anavoogopa kaburi nikarudi yupo seblen anachek muvi nikamuliza vipi umekosa viza au tiket umeipoteza, akanambia oh huna huruma huion ii hali nilionayo bado unataka nife, nikamwambia mimb isiwe kinga ya makosa halaf mi ukanifanya ndondocha lako, bs mpaka leo akikumbuk nilivompa jag la maji anacheka.
Last edited by Turufuu; 7th August 2014 at 22:22.
kweli mshukuru mungu wako maana misukosuko ilikuwa mingi....
Je nimekosea?
Started by Turufuu, 7th August 2014 22:13
kama hujampa jina muite mtoto BAHATI
allah ndo kitu gani
huu sasa uchokonoko
kweli mshukuru mungu wako maana misukosuko ilikuwa mingi....
[h=3]Je nimekosea?[/h] Started by Turufuu, 7th August 2014 22:13
kama hujampa jina muite mtoto BAHATI