MartinDavid
JF-Expert Member
- May 22, 2009
- 874
- 145
Nape na CCM yao wanafiki tu..anyway waache wafu wazike wafu wao!
- Mkuu sana kwani kazi ya Katibu Mwenezi wa chama cha siasa ni nini hasa? Hebu weka wazi hilo kwanza halafu ndio utoe hukumu, Rais wa Jamhuri majuzi amesema wazi kwamba kila analolisema Nape ni lake yeye, sasa hebu tumpe nafasi Nape afanye kazi mpya aliyopewa na CCM, moja ya kazi zake mpya ni msemaji mkuu wa chama, kwa hiyo anapoongea ni chama kinaongea.
- Mwacheni Nape, afanye kazi ya chama chake, maaana kama mantiki yako ni hoja basi ungeanza na Dr. Slaa kwanza, kwani hajamuona Mtikila, anavyowahi kwenye sheria akiwa na ushahidi? Pleaseeee!
William @ NYC, USA.
Wana JF, nimemsikia jioni hii BBC Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Bw. Nape kuhusu kujivua gamba. Ila kwa matamshi anayoyatoa ya kumchafua Ndg. Edward Lowasa siyo ya kiungwana wala kianaume,
Yaelekea una uchungu na ?mzee wako kuwemo katika listi mpya ya vibakauchumi a.k.a. Mafisadi. Hebu tueleze Mtikila amewahi mara ngapi kwenye hiyo sheria na ameshapata nini zaidi ya kupoteza tu muda wake? Mtindo wananaoutumia CHADEMA ndiyo muafaka, maana haiwezekani kabisa kutafuta haki kwa kwenda kushtaki kwa muasisi wa uhalifu uliotokea. Kimantiki Majaji, Mahakimu, Polisi, Usalama wa Taifa, na huo usanii mnaouita TAKUKURU (Taasisi ya kuwasaidia na Kuwatetea wala Rushwa) n.k. wanateuliwa na Rais,ambaye kwa bahati mbaya huyu wa sasa ni vigumu kutofautishwa na watuhumiwa! Unategemea haki ipi kwa chombo gani cha sheria cha nchi hii ambapo vyooote ni mali binafsi ya Rais na wanaapishwa kumlinda na kumtetea katika kila jambo hata la kuiangamiza nchi hii hii inayowatunza na kuwanawirisha? Hebu tuambie ile kesi ya madai ya mgombea binafsi ya huyo Mtikila dhidi ya serikali iliishaishaje vile? Labda kwa kuwa uko mbali, iligeuzwa shoo ya maigizo na haki ya kikatiba ya Mtanzania kufinyangwa! Tusidanganyane;lugha wanayoigwaya na kuiogopa kama ukoma hawa vibaka mnaowaita CCM ni moja tu, ya Peoples....Power.- Mkuu sana kwani kazi ya Katibu Mwenezi wa chama cha siasa ni nini hasa? Hebu weka wazi hilo kwanza halafu ndio utoe hukumu, Rais wa Jamhuri majuzi amesema wazi kwamba kila analolisema Nape ni lake yeye, sasa hebu tumpe nafasi Nape afanye kazi mpya aliyopewa na CCM, moja ya kazi zake mpya ni msemaji mkuu wa chama, kwa hiyo anapoongea ni chama kinaongea.